Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
- Thread starter
-
- #161
Kaka kama kijana unabidi uwe appealing to the society wale wananyoa vizuriNina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje
Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui
Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga
Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha
Hivi unakulaje bar maid kwanza
Sawa tusibishane sana nitakosa validity...Every woman says that untill first contact with a billionaire
Ukikutana na mwili kama wako linakubemenda.....Inaitwa mishangazi
Peleka Facebook.Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.
Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.
Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.
Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.
Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.
Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.
Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa shemeji siondoki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Dada akiachika nitaumia sana
Aisee. Kweli wewe ni funza dume. Nimecheka ulivyoelezea habari yako.Nije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hojaNina kinyaa sana .. siwezi kula demu wa bar au sehemu Kama hizo hata afanyaje
Pia siwezi fanyiwa massage hata ya kichwa sijui
Saloon yangu Ni simple Sana unanyoa unajifuta nywele unaenda kuoga
Na ninapendeza nywele za asili napaka mafuta ya mgando hayo hayo napaka mwilini naomba kuwasilisha
Hivi unakulaje bar maid kwanza
Nenda weww km pazuriPeleka Facebook.
Ila hao usipokuwa na maamuzi ya kujidhibiti unafanya balaa zito kweli.Hizi saluni ni bala zito
Kilikukuta nn?Zamani nilikuwa na uraibu sana wa hizi mambo! Nikipata mshahara kwa kuwa nilikuwa bachela basi chap kwa sana naingia zangu mita fulani navuta manzi inanifanyia masage matata sana kisha naikula halafu narudi magetoni maisha yanaendelea ila kwa sasa nimeachana na mtindo huu! Sitaki kabsa kusikia kuhusu hawa wadada ni majanga matupu!
Fahari ya macho, hawanaga noma kushikwa shikwa...Hahahaaa hapo mnara sasa🙌🙌🤠
Sasa ukute mdada chini amevaa kisket solo kifupiiii na ndani hamna kitu mchizi anaona mzigo wote huu hapa🙌🙌
Massage Sio salama Kabisa asee
Hahahaha kwahyo ulikwenda uokozi ukaamu kumleta barbershop Kuja kuuzuguawwatuNije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Watu wapo kazini wataonaje noma??? Kazi za kimkakati🙌🙌Fahari ya macho, hawanaga noma kushikwa shikwa...