Wadada wa mitandaoni punguzeni hizi janjajanja zenu

Huwa nashangaa sana kila jambo baya linamuhusu mwanamke, sidhani kama jinsia inahusika hapo hiyo ni tabia ya mtu binafsi na haizuiliki.

Nikuulize tu mkuu kwani wanaume walioko mitandaoni hakuna anayedanganya? Tena nyie ndio waongo kuliko.

Kila mtu kwa nafasi yake na jinsia yake anapaswa kumuogopa mungu.
 
Hivi nan vile alimlisha kasa adam vileeee?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aha! pole umeingizwa mjini kumbe? mim sijawah kuwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu nisijue anapoishi ..never! utanopeleka mwenyew kadiri mahusiano yanavyokuwa utajikuta umenipeleka!
 
Back
Top Bottom