Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Huwa nashangaa sana kila jambo baya linamuhusu mwanamke, sidhani kama jinsia inahusika hapo hiyo ni tabia ya mtu binafsi na haizuiliki.
Nikuulize tu mkuu kwani wanaume walioko mitandaoni hakuna anayedanganya? Tena nyie ndio waongo kuliko.
Kila mtu kwa nafasi yake na jinsia yake anapaswa kumuogopa mungu.