Wanakosekanaje sasa. Penye wengi pana mengiiKutokujikubali. Kutaka kuonekana wajuu kumbe hamna kitu.,kutaka kuonekana nayeye yumo kumbe hamna kitu yaan siku izi watu wameamua kua ma 'Narcissist'
Sema nn, hata humu wamo [emoji23] .
"Katika nchi ya Vipofu, mwenye chongo ni Mfalme"
Maji ya jero utanipunja fanya ya 1200 ile kilimanjaro litre 1 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hio kauli ina aashiria UBINGWA, utadumu sana be 100% Real. Lunch ya leo uta Agiza maji madogo ya Jero nitapita kulipa.
Waache waongeze ZERO, tunashukuru tumelijua hilo chama cha wanaume tutalifanyia kazi
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.Well said... kwa ujumbe huu ulioutoa wewe mwenyewe lazima uaminike sana, bahati nzuri huna tabia kama ya hao wengine!
Na kuna tofouti kati ya hawa slay queens na wadangaji?I'm humbled
Kutokujikubali. Kutaka kuonekana wajuu kumbe hamna kitu.,kutaka kuonekana nayeye yumo kumbe hamna kitu yaan siku izi watu wameamua kua ma 'Narcissist'
"Katika nchi ya Vipofu, mwenye chongo ni Mfalme"
Mkuu hio kauli ina aashiria UBINGWA, utadumu sana be 100% Real. Lunch ya leo uta Agiza maji madogo ya Jero nitapita kulipa.
Waache waongeze ZERO, tunashukuru tumelijua hilo chama cha wanaume tutalifanyia kazi
Naongezea mia saba ... Sikwasababu ndo uwezo wetu bali kwasababu leo unapaswa unywe maji ya kutosha tena haya ya KLM ndio pure, yatakapoingia mwilin mwako tu, yatasaidia kuurudisha ubongo wako katika hali changamfu kwakua leo umeumiza Bongo !!Maji ya jero utanipunja fanya ya 1200 ile kilimanjaro litre 1 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi jua mkuu na mie kama hao, Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
Maji ya jero utanipunja fanya ya 1200 ile kilimanjaro litre 1 na nusu
Wakipata mabwana mbio kupanga apartment huu ulimbukeni au mie mshamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjukuuuu wangu hii misemo lazima uifikirie tenaaa na tenaaa ndo uielewe.Nchi ya Vipofu Chongo anatafuta nini mkuu.???
Ila wadada wamekuwa FAKE sana siku hizi kuanzia tabia na kila kitu
Hawapishani sanaaa sema we utakua danga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kuna tofouti kati ya hawa slay queens na wadangaji?
Kama zipo naomba unipe maana kuna mchepuko wangu mmoja kanisave buu Hela baada ya kuangalia kwenye simu yake niliamua kukata mahitaji yote kuanzia wiki iliyopita.....
Nahisi atakuwa ni miongoni mwa hao wawili?
Siachi kuongeza Namba..usinitafute shoi