Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Kutokujikubali. Kutaka kuonekana wajuu kumbe hamna kitu.,kutaka kuonekana nayeye yumo kumbe hamna kitu yaan siku izi watu wameamua kua ma 'Narcissist'

Sema nn, hata humu wamo [emoji23] .

"Katika nchi ya Vipofu, mwenye chongo ni Mfalme"
Wanakosekanaje sasa. Penye wengi pana mengii
 
Mkuu hio kauli ina aashiria UBINGWA, utadumu sana be 100% Real. Lunch ya leo uta Agiza maji madogo ya Jero nitapita kulipa.

Waache waongeze ZERO, tunashukuru tumelijua hilo chama cha wanaume tutalifanyia kazi
Maji ya jero utanipunja fanya ya 1200 ile kilimanjaro litre 1 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Well said... kwa ujumbe huu ulioutoa wewe mwenyewe lazima uaminike sana, bahati nzuri huna tabia kama ya hao wengine!
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.
 
Kutokujikubali. Kutaka kuonekana wajuu kumbe hamna kitu.,kutaka kuonekana nayeye yumo kumbe hamna kitu yaan siku izi watu wameamua kua ma 'Narcissist'

"Katika nchi ya Vipofu, mwenye chongo ni Mfalme"

Nchi ya Vipofu Chongo anatafuta nini mkuu.???

Ila wadada wamekuwa FAKE sana siku hizi kuanzia tabia na kila kitu
 
Will you marry me... Cc mzigua90 nilikuwa nakutafuta siku nyingi mtu wa aina yako...tafadhali nikabidh moyo wako niutunze
 
Mkuu hio kauli ina aashiria UBINGWA, utadumu sana be 100% Real. Lunch ya leo uta Agiza maji madogo ya Jero nitapita kulipa.

Waache waongeze ZERO, tunashukuru tumelijua hilo chama cha wanaume tutalifanyia kazi
Maji ya jero utanipunja fanya ya 1200 ile kilimanjaro litre 1 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongezea mia saba ... Sikwasababu ndo uwezo wetu bali kwasababu leo unapaswa unywe maji ya kutosha tena haya ya KLM ndio pure, yatakapoingia mwilin mwako tu, yatasaidia kuurudisha ubongo wako katika hali changamfu kwakua leo umeumiza Bongo !!

Yasipotosha,, niambie nikuchotee maji ya Dawasco hapa dumu zima nikuletee.
 
Huwezi jua mkuu na mie kama hao, Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.

Mkuu sometime na sisi usipo tudanganya waGumu kutoa hela. ila endelea na moyo huo huo
 
Huwezi jua mkuu na mie kama hao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siwezi mdanganya mwanaume anipe mahela mengi maana ntasahau katikati ya safari halafi inakuaje hapo mtu anaonekana tapeli bure. Japo napenda hela ila vibomu vya kijinga NO.

Great... wewe ndo upo kundi la wale wanaoitwa 'wife material'. Indeed I see maturity, busara na hekima kwenye hoja zako.

Nadhani hao wanaodanganya wanakuwa na watu ambao ni wa kupita hawana mpango nao mbele ya safari, kwa hiyo siku wakigundua wanadanganywa ndo itakuwa mwisho wa mahusiano yao.
 
Nchi ya Vipofu Chongo anatafuta nini mkuu.???

Ila wadada wamekuwa FAKE sana siku hizi kuanzia tabia na kila kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjukuuuu wangu hii misemo lazima uifikirie tenaaa na tenaaa ndo uielewe.

Nakupa mfano... Kuna kijiji kimoja hakuna msomi hata mmoja, ila akatokea dogo yeye alienda nje ya kijiji kile, kisha akaanza lakwanza, Kwasababu ya utundu wake nakutokupenda shule, aliishia Darasa la pili.

Kisha arudi kijijin kwao, Bwanamdogo kwakujua tu kusoma nakuandika, akakuaa akiwa mwingi wahabar, mjanja mjanja tuuu,, kijiji kizima kikawa kinamuhusudu huyu bwana dogo mpaka wakampa "Ufalme".

Unahisi ktka wale ambao hawakusoma, Hapakuwepo na Mtu mwenye busara nahekima kutosha kua mfalme, mpaka wakampa huyu Muhuni, mkorofi. Mgonvi, aloacha shule??? .

Namaanisha ivi..... Hawa wadada walozumgumzwa na mtoa mada, kama alivyosema, niwajanja wajanja tuu wanaishi kiujanja ujanja ,kulala kwa mashoga ( Chongoooooo) .... Lkn wanakuka kuonekana wafalme wanapokutana na wadada wenzao au wanaume wasokua makini nawasoruhusu vichwa kufikiria.

Mfano, Najua kabisa wee hujawah Kunua kitu fulan mahali fulan nawenda hupajui,,, ivo basi weee mshamba mshamba unajikuta unamuona Mfalme .

Nadhan umenielewa Joooh!!.
 
Na kuna tofouti kati ya hawa slay queens na wadangaji?

Kama zipo naomba unipe maana kuna mchepuko wangu mmoja kanisave buu Hela baada ya kuangalia kwenye simu yake niliamua kukata mahitaji yote kuanzia wiki iliyopita.....

Nahisi atakuwa ni miongoni mwa hao wawili?
Hawapishani sanaaa sema we utakua danga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Will you marry me... Cc mzigua90 nilikuwa nakutafuta siku nyingi mtu wa aina yako...tafadhali nikabidh moyo wako niutunze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkuu mchumba angu akiona hapa atakuja kwa hasira
 
Back
Top Bottom