C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
- Thread starter
- #21
Wadada wa mjini headline ingine ishakuja.
Ila C.T.U mjini ukiwa na pesa, unatia kila mtu.
Ngoja nisubiri nani atawahi, Masimba au Sepetu maana hawa nao hawajambo.
Masimba nae kujilipia kote mahari kwa Kiumbe....kaangukia pua.
Wake 4 si mchezo
Chezea ngada wewe alifikiro kijilengesha mimba atakuwa anaambulia fedha za ngada na sasa hivi wauza ngada wote pombe anakula nao sahani moja