Wadada wa mjini waanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha

Wadada wa mjini waanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha

Wadada wa mjini headline ingine ishakuja.
Ila C.T.U mjini ukiwa na pesa, unatia kila mtu.
Ngoja nisubiri nani atawahi, Masimba au Sepetu maana hawa nao hawajambo.
Masimba nae kujilipia kote mahari kwa Kiumbe....kaangukia pua.
Wake 4 si mchezo

Chezea ngada wewe alifikiro kijilengesha mimba atakuwa anaambulia fedha za ngada na sasa hivi wauza ngada wote pombe anakula nao sahani moja
 
Wewe C.T.U unataka habari za Imelda?
Kwa kifupi ni kwamba yule ni mchepuko wa kudumu wa Shigo......
Naomba niishie hapo.
Naskiaga shigo anakulaga viumbe wa kike na wa kiume sichagui sibagui atakaepita mbele yangu namla
Cc warumi
 
hata coastal hataweza aisee bora akajikalia kama haoni vile

Bora aende zake ubelgiji tu akale totoz zenye k mileage ndogo hawa wa kwetu mileage zinasoma 150,000 halafu wanasema eti nyapu haichuji hivyo wanazivua
 
anaingia leo saa tano usiku,ngoja nikodoe macho lazma wema atakuwa Airport anatupa ndoano.
Na ile radio inayopenda sifa wanasemayani kuna party sijui escape one sijui madudu gani... yaani giza giza tu
 
Wewe C.T.U unataka habari za Imelda?
Kwa kifupi ni kwamba yule ni mchepuko wa kudumu wa Shigo......
Naomba niishie hapo.
Imelda mwenyewe namjua basi...huyo shigo...namfahamu!hebu weka picha ya Imelda!
 
Bora aende zake ubelgiji tu akale totoz zenye k mileage ndogo hawa wa kwetu mileage zinasoma 150,000 halafu wanasema eti nyapu haichuji hivyo wanazivua
ha ha haha bora aiseee
 
Tp mazembe samatta alikuwa analipwa tsh milion 7 kwa mwezi, lakini timu mpya iliomsajili ya ulaya itakuwa inamlipa tsh milioni 10 kwa wiki, sasa hizi pesa zisije ishia kupangishia malaya wa mjini wenye majina
 
Umeona eeh?Shigo mchafu nyie acheni tu.
Ila yote kwa yote kwa lile gorrila lake kafika mama,haambiwi!
Na ile OFM ni jipu lile ipo siku watawashwa risasi subiri tu
 
NIMESIKIA LEO WANASEMA AKITUA TU BREAK YA KWANZA ESCAPE ONE, HAPO NDIPO ATAKAPOENDA KUKIONA CHA MOTO, LULU,WEMA,AUNT, KAJALA N.K LAZMA WANG'OE
Na ile radio inayopenda sifa wanasemayani kuna party sijui escape one sijui madudu gani... yaani giza giza tu
 
Back
Top Bottom