Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
😛 😛didamtam naye atakuwepo? mwambieni dida bora asiende manake jamaa anapiga mashuti balaa.atajikosesha ajira kama mwezi akiuguza kundule
Thubutuuuuuuu hakuna panya asopenda kitobo, mtu akishakua nazo ndo utamjua anapenda au hapendi we utapenda madem wakati ukicheki Salio unaambiwa insufficient amount!!!! Pata pesa tujue tabia yako 😀Wale wanaitwa nilipe nisepe pesa zikiisha ndukii
Anakula mitetea kwa majogoo habari kamili anayo warumidu...unasema kweli...tema mate juu yakurudie!!viumbe wa kiume pia!!??hebu ngoja warumi aongezee!
Umemaliza injili? Naomba namba nitume sadaka kwenye m-pesaMnawakosea adabu madada wa watu jamani wao wameshow luv kumpongeza kama mtanzania mwenzao ila nyie naona mmewaelewa vibaya na sio fresh kuwataja majina huo ni utovu wa adabu hata kama wana tabia mbaya humu jf kuna wengine ni wachafu kuliko wao sema wao wanaponzwa tu na umaarufu,waacheni bwana wampongeze mtanzania mwenzao cc C.T.U Evelyn Salt SOLDIER GENIUS Madame B nifah msemakweli2 kabunda88 waacheni na samata wao
I love JF, yaani si muda data zote zitakuwa hapa! yaani mada inahusu X na wee ushaleta lako kuhusu Z! daaah, safi sana, siondoki mpk wakujibu!Hivi yule mtoto wa insta anayekuwa na Wema na Idriss ni wa nani?
Maana nimesikia eti wa Wema kazaa na Idriss?
Wema si nimeambiwa tasa na mgumba juu?
achokupendea dadangu! ahsante!Wewe C.T.U unataka habari za Imelda?
Kwa kifupi ni kwamba yule ni mchepuko wa kudumu wa Shigo......
Naomba niishie hapo.
Huyu ndo Imelda Mmmmmh kweli kazi ya moyo ni kusukuma damu
Ishajimbiwa mbona Chek repliesI love JF, yaani si muda data zote zitakuwa hapa! yaani mada inahusu X na wee ushaleta lako kuhusu Z! daaah, safi sana, siondoki mpk wakujibu!
Jirani Asalam Aleykum jiranHili jambo hata mimi nililiwaza asubuhi katika pitapita zangu Instagram.
Samatta awe makini sana,nina wasiwasi na Lulu....sijui anajipangaje kumnyakua kaka wa watu.
Wema naona keshatupia Hug,kisses and xoxo....
Pia tusimsahau Diva jamani,na kile kipindi chake atajidai anamuita kumhoji.
Maana historia inaonesha 90% ya mabwana zake kawapatia pale.... Prezoo,Zitto n.k
Sasa sijui hicho ni kipindi au date site!
Hili jambo hata mimi nililiwaza asubuhi katika pitapita zangu Instagram.
Samatta awe makini sana,nina wasiwasi na Lulu....sijui anajipangaje kumnyakua kaka wa watu.
Wema naona keshatupia Hug,kisses and xoxo....
Pia tusimsahau Diva jamani,na kile kipindi chake atajidai anamuita kumhoji.
Maana historia inaonesha 90% ya mabwana zake kawapatia pale.... Prezoo,Zitto n.k
Sasa sijui hicho ni kipindi au date site!
Aisee hii ni zaidi ya Fungus
Wa alaykum salam jiraniJirani Asalam Aleykum jiran
Kabisa mkuu.Aaaaaaaaaaah,kumbe akikuita tu unaweza kushangaa shughuli inaishia hapo hapo studio tu eeeeeh??
Kazaa naye ndotoni?Hivi yule mtoto wa insta anayekuwa na Wema na Idriss ni wa nani?
Maana nimesikia eti wa Wema kazaa na Idriss?
Wema si nimeambiwa tasa na mgumba juu?
Kabisa mkuu.
NIMESIKIA LEO WANASEMA AKITUA TU BREAK YA KWANZA ESCAPE ONE, HAPO NDIPO ATAKAPOENDA KUKIONA CHA MOTO, LULU,WEMA,AUNT, KAJALA N.K LAZMA WANG'OE
anakaaa kati tatzo wale wadada wanamambo mengi watamjaza ujinga mwingi na masifa mwishowe apoteze mwelekeo
akigonga tu wanamchafuaAiseee...Kumbe akikubali kujazwa ujinga na wale wadada yeye ndiye atakuwa mjinga.....
Lakini mi namshauri agonge tu.....si wanampelekea
Mbona kuna watu wana pesa lakini ni wastaarabu kama mou dewji mzee bakhresa na watoto wake ile ni tabia tu kama mengi na jackThubutuuuuuuu hakuna panya asopenda kitobo, mtu akishakua nazo ndo utamjua anapenda au hapendi we utapenda madem wakati ukicheki Salio unaambiwa insufficient amount!!!! Pata pesa tujue tabia yako 😀