Wadada wa mjini waanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha

Wadada wa mjini waanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha

katika vijana nawakubali ni mbwana samata, yule dogo anajielewa, halewi sifa kabisa, angalikua ngasa ndo ameshinda hiyo tuzo ningekuambia msubirini mechi za mchangani
 
Wale wanaitwa nilipe nisepe pesa zikiisha ndukii
Thubutuuuuuuu hakuna panya asopenda kitobo, mtu akishakua nazo ndo utamjua anapenda au hapendi we utapenda madem wakati ukicheki Salio unaambiwa insufficient amount!!!! Pata pesa tujue tabia yako 😀
 
Mnawakosea adabu madada wa watu jamani wao wameshow luv kumpongeza kama mtanzania mwenzao ila nyie naona mmewaelewa vibaya na sio fresh kuwataja majina huo ni utovu wa adabu hata kama wana tabia mbaya humu jf kuna wengine ni wachafu kuliko wao sema wao wanaponzwa tu na umaarufu,waacheni bwana wampongeze mtanzania mwenzao cc C.T.U Evelyn Salt SOLDIER GENIUS Madame B nifah msemakweli2 kabunda88 waacheni na samata wao
Umemaliza injili? Naomba namba nitume sadaka kwenye m-pesa
 
Hivi yule mtoto wa insta anayekuwa na Wema na Idriss ni wa nani?
Maana nimesikia eti wa Wema kazaa na Idriss?
Wema si nimeambiwa tasa na mgumba juu?
I love JF, yaani si muda data zote zitakuwa hapa! yaani mada inahusu X na wee ushaleta lako kuhusu Z! daaah, safi sana, siondoki mpk wakujibu!
 
ndio nn
Wewe C.T.U unataka habari za Imelda?
Kwa kifupi ni kwamba yule ni mchepuko wa kudumu wa Shigo......
Naomba niishie hapo.
achokupendea dadangu! ahsante!
 
MBONIMHITAGPL8.JPG
Huyu ndo Imelda Mmmmmh kweli kazi ya moyo ni kusukuma damu
 
Hili jambo hata mimi nililiwaza asubuhi katika pitapita zangu Instagram.
Samatta awe makini sana,nina wasiwasi na Lulu....sijui anajipangaje kumnyakua kaka wa watu.
Wema naona keshatupia Hug,kisses and xoxo....
Pia tusimsahau Diva jamani,na kile kipindi chake atajidai anamuita kumhoji.
Maana historia inaonesha 90% ya mabwana zake kawapatia pale.... Prezoo,Zitto n.k
Sasa sijui hicho ni kipindi au date site!
Jirani Asalam Aleykum jiran
 
Aaaaaaaaaaah,kumbe akikuita tu unaweza kushangaa shughuli inaishia hapo hapo studio tu eeeeeh??
 
Hivi yule mtoto wa insta anayekuwa na Wema na Idriss ni wa nani?
Maana nimesikia eti wa Wema kazaa na Idriss?
Wema si nimeambiwa tasa na mgumba juu?
Kazaa naye ndotoni?
Hivi Munana alifia wapi?
Idriss ana roho ngumuuu
Demu wako analiwa denda kisa kuuza gazeti unauchuna tuuuu.
 
anakaaa kati tatzo wale wadada wanamambo mengi watamjaza ujinga mwingi na masifa mwishowe apoteze mwelekeo

Aiseee...Kumbe akikubali kujazwa ujinga na wale wadada yeye ndiye atakuwa mjinga.....

Lakini mi namshauri agonge tu.....si wanampelekea
 
Thubutuuuuuuu hakuna panya asopenda kitobo, mtu akishakua nazo ndo utamjua anapenda au hapendi we utapenda madem wakati ukicheki Salio unaambiwa insufficient amount!!!! Pata pesa tujue tabia yako 😀
Mbona kuna watu wana pesa lakini ni wastaarabu kama mou dewji mzee bakhresa na watoto wake ile ni tabia tu kama mengi na jack
 
Back
Top Bottom