DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Acha kujiita Weakman mkuu itakuwa hivyo!Dah,
Watu wa macho ya Rohoni, shida kweli!!
Hilo nalo nenoHivi nyie mnaofanyiwa massage ya mwili mzima na mnaondoka bila kula mbususu hv nguvu za kiume mnazo kweli???
Au basi ngoja nisiwaingilie maisha yenu!!
ahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!Nature yako wewe ni mchafu sana, unaonekana unafua boxer baada ya miezi mitatu
Karagabaooooahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
Tuwekee picha mkuu tuthibitishe ulalamikaji wako kama ni sahihi kweliWakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Kwa hiyo wewe ndio Mwalukumbi sio?ππππππKawaida mkuu
You nailed it
HahahaWakuu habari za jioni?

Wewe sio mdau wa hiyo happy.Mambo ya Happy ending huwaga ni uongo sio kweli. Kwani nyie mna alama usoni mbona nikihudhuria hizo saloon sijawah ona hata dalili
Hivyo vidole alitoka kukamua HIV+ mteja. Sasa kapime ujue hali ya afya yako.Wakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Wamejua wewe ni MsukumaMambo ya Happy ending huwaga ni uongo sio kweli. Kwani nyie mna alama usoni mbona nikihudhuria hizo saloon sijawah ona hata dalili