Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

Nature yako wewe ni mchafu sana, unaonekana unafua boxer baada ya miezi mitatu
Sio uchafu tu,hata uanaume wake unachangamoto sana kutokana na mwandiko wake,nilivyoona neno wakaka limetumika nikajua huyu manzi mara ghafla jamaa eti anasema ye mwanaume,me najua mwamba kabsa huwez kumwita mwanaume mwenzako mkaka,ko huyu ndugu anaweza kuwa papai ama wanawake ndo company yake kubwa
 
Wakaka ndo kina nani? Saluni ya kiume kuwa na wahudumu wanaume na waoshaji wanawake.
Umeuliza swali zuri. Hapo aliposema "wakaka" kazingua. Wanaume hatuiti wanaume wengine wakaka.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sio uchafu tu,hata uanaume wake unachangamoto sana kutokana na mwandiko wake,nilivyoona neno wakaka limetumika nikajua huyu manzi mara ghafla jamaa eti anasema ye mwanaume,me najua mwamba kabsa huwez kumwita mwanaume mwenzako mkaka,ko huyu ndugu anaweza kuwa papai ama wanawake ndo company yake kubwa
Na wanaume hawaandikagi "ko" we dogo.
 
Wakuu habari za jioni?

Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.

Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.

Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.

Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.

Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
... kwa simulizi hii, umenikata 'steam' kabisa na hizo 'MASSAGE UCHWARA'!
... NIKITAKA KULA NGURUWE, SAFARI IJAYO, NITACHAGUA ALIYENONA KABISA, i.e NITACHUKUA DADA POA NIJIPAKI NAE SEHEMU HUKU NIKIJUA FIKA NAFANYA NINI! 😅
 
Wakuu habari za jioni?

Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.

Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.

Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.

Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.

Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
We utakuwa mchafu sana..!! Yaani unaenda na mafua yako saluni, unaenda na usaha wako saluni..!!
 
Wale wadada wadumu! Unaulizwa nikufanyie scrub ya chumvi? Swadaktaaa…scrub ya asali? Swadaktaaa…steaming? Swadaktaaa…manicure? Swadaktaaa…massage ya kichwa? Swadaktaaa…muda huo vidole na ulimi vinapita na kutoka masikioni bill ikija 80k…ukilipa bila kuwaza unalazimishwa ufatwe hotel ukafanyiwe full body massage, namba unapewa.
 
Wakuu habari za jioni?

Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.

Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.

Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.

Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.

Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Huko chumbani wanakooshea vichwa huwa ni madangulo yaliyoboreshwa.Ukiona mtu anapenda kuoshwa kichwa kule chumbani na msichana baada ya kunyoa basi huyo ni mmoja ya watu wanaopenda unzinzi.mimi nasikiaga kinyaa haswa kuoshwa na wale wadad.huwezi amini naweza tapika.
 
Nilimkula mmoja nilienda kunyoa nikiwa na bulungutu la mkopo kutoka bank,wakati namlipa nilitoa bulungutu nikachomoa wekundu wawili nikachukua no kesho yake akanitafuta tukaenda kulana ,na niliishia kuuza nyumba kulipa mkopo bank
Duu makubwa haya, pole sana jamani! Ungemuoa tu ili zile changamoto za mkopo mkazipitia pamoja

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom