Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

Meza unayotingisha Ina Henensy tupu na kitimoto roast!!
 
Nilimkula mmoja nilienda kunyoa nikiwa na bulungutu la mkopo kutoka bank,wakati namlipa nilitoa bulungutu nikachomoa wekundu wawili nikachukua no kesho yake akanitafuta tukaenda kulana ,na niliishia kuuza nyumba kulipa mkopo bank
Kha!,kha!,Sasa unasema ulichukua noti mbili ukampa bidada,ukamukula sasa hizo pesa zingine ulizifanyia nini?.
 
Mbele ya pesa hakuna kinyaa...mwisho wa siku wewe ndiye falla uliyeshikwa shikwa ukaacha pesa, binti kama ni mjanja atafanya kitu kinachoonekana lkn wewe umeachiwa kumbukumbu ya kubinywa vipele.

Wale mabinti ni majasiri sana na huwa nawaheshimu sana
 
UZI TAYARI
 
Msipende sana haya mambo ya scrub, massage, nk huko salon yana mambo yake pia na wengi hufanyiwa ufedhuli wa kiroho na hao madada ambao wengi wao ni watenda kazi na maajenti katika ulimwengu wa giza!

Ukienda salon yoyote kabla ya kunyoa sali kwanza jikabidhi kwa Yesu Kristo, pia kabidhi nywele zako kwa Yesu. Jifunike kwa Damu ya Yesu, alafu nenda kanyoe.

Nywele zako na mwili wako vitakuwa salama dhidi ya ufedhuli unaofanywa kwenye salon na vinyozi ambao wengi ni maajenti wa kuiba nyota za watu na kuzipeleka kuzimu.

Nature yako wewe ni mchafu sana, unaonekana unafua boxer baada ya miezi mitatu

Imeenda hiyo nasema imeenda hiyo

Sema umepewa na Happy Ending mjomba😅😅

Huyu anaonekana ndo zake, sema anaficha [emoji23][emoji23]

Kuna limshangazi fulani corporate lilinipiga kiss ghafla bin vuu wakati wa kuosha nywele
NB
Ni single mother

Baada ya hapo ukamkatia ngapi?

You nailed it

Duh ukamwaga Ubongo

Wakaka ndo kina nani? Saluni ya kiume kuwa na wahudumu wanaume na waoshaji wanawake.

Raha sana kichwa para linapigwa massage mpaka unajisahau Kwa muda kama upo hai!

Mambo ya Happy ending huwaga ni uongo sio kweli. Kwani nyie mna alama usoni mbona nikihudhuria hizo saloon sijawah ona hata dalili
 
Msipende sana haya mambo ya scrub, massage, nk huko salon yana mambo yake pia na wengi hufanyiwa ufedhuli wa kiroho na hao madada ambao wengi wao ni watenda kazi na maajenti katika ulimwengu wa giza!
Mchungaji km Mchungaji,kwa hiyo tufanyeje sasa Mtumishi?.
 
Mbele ya pesa hakuna kinyaa...mwisho wa siku wewe ndiye falla uliyeshikwa shikwa ukaacha pesa, binti kama ni mjanja atafanya kitu kinachoonekana lkn wewe umeachiwa kumbukumbu ya kubinywa vipele.

Wale mabinti ni majasiri sana na huwa nawaheshimu sana
Sasa si ndio Kazi ya pesa mkuu?.Tunatafuta kwa shida ili tuzitumie kwa raha[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…