Wadada wa saluni za kiume hawana kinyaa kabisa

Mchungaji km Mchungaji,kwa hiyo tufanyeje sasa Mtumishi?.
Ukienda salon yoyote kabla ya kunyoa sali kwanza jikabidhi kwa Yesu Kristo, pia kabidhi nywele zako kwa Yesu. Jifunike kwa Damu ya Yesu, alafu nenda kanyoe.

Nywele zako na mwili wako vitakuwa salama dhidi ya ufedhuli unaofanywa kwenye salon na vinyozi ambao wengi ni maajenti wa kuiba nyota za watu na kuzipeleka kuzimu.
 
Wewe baki na kinyaa chako ufe masikini,kwani hivio vipele anakamua bure?
 
Dah!!,Umenitisha mkuu.Hadi nimeogopa.
 
So kuna watu wanaenda kuzimu na kurudi?

Pili wasisali kabla ya kunyolewa wamenyang'anywa nyota?

Imani
Potofu
Toka
Kwa
Mitume
Na
Manabii fake
 
Hapo pamenifikirisha
 
Jamani muwe waangalifu na vipele, (chunusi) vya usoni. Kuna nerves (mishipa) ambayo iko sensitive sana, kiasi unapominya hivyo vipele, hiyo mishipa mingine inaungana na mfumo wa ubongo, hivyo kupelekea madhara (kuvimba uso) na hata kifo cha ghafla.
Mimi si mtaalamu, ila nimekula kwenye familia ya daktari, na daima tulikuwa tukionywa tabia za kupasuana vipele na chunusi za usoni.

"Breaking the skin's surface anywhere (on your face or body) poses a risk of bacteria entering the bloodstream, which is the main concern with the "danger triangle," she notes. If a pimple is popped in the triangle and "if there is a particularly virulent or highly resistant and aggressive bacterial infection introduced from the popping into the bloodstream, it can travel to the other parts of the body, including the brain," says Dr. Shamban.
"
Can Popping a Pimple In the 'Danger Triangle' Kill You?.
 
Kha!,Mbona vitisho sana mkuu.
 
Labda useme ni kinyume cha maadili kushikwa shikwa kingono na mwanamke asiye mke ila siyo hizi hadithi za kilokole ulizoleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…