Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
- Thread starter
-
- #161
Hiyo siyo babershop,itakuwa ni vike Visaluni vidogo.Nikimkumbuka yule Dogo aliyeleta uzi eti aliingia barber shop na buku nacheka Sana
Kha!kha!kha!,Njoo nikubandue.Sio uchafu tu,hata uanaume wake unachangamoto sana kutokana na mwandiko wake,nilivyoona neno wakaka limetumika nikajua huyu manzi mara ghafla jamaa eti anasema ye mwanaume,me najua mwamba kabsa huwez kumwita mwanaume mwenzako mkaka,ko huyu ndugu anaweza kuwa papai ama wanawake ndo company yake kubwa
Hapo ni ishu ya Lugha tu mkuu.Umeuliza swali zuri. Hapo aliposema "wakaka" kazingua. Wanaume hatuiti wanaume wengine wakaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wanaume hawaandikagi "ko" we dogo.
Wewe ni mchafu alafu unaelezea uchafu wako hapa mbele ya halaiki...πWakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Ukijichanganya unapewa blowjob mle kwenye kachumba kaleWakuu habari za jioni?

Sasa km huyo manzi wako hajui massage je?... kwa simulizi hii, umenikata 'steam' kabisa na hizo 'MASSAGE UCHWARA'!
... NIKITAKA KULA NGURUWE, SAFARI IJAYO, NITACHAGUA ALIYENONA KABISA, i.e NITACHUKUA DADA POA NIJIPAKI NAE SEHEMU HUKU NIKIJUA FIKA NAFANYA NINI! [emoji28]
Uchafu kawaida kwa mwanaume.We utakuwa mchafu sana..!! Yaani unaenda na mfua yako saluni, unaenda na usaha wako saluni..!!
Full body message sijawahi kufanyiwa.Wale wadada wadumu! Unaulizwa nikufanyie scrub ya chumvi? Swadaktaaaβ¦scrub ya asali? Swadaktaaaβ¦steaming? Swadaktaaaβ¦manicure? Swadaktaaaβ¦massage ya kichwa? Swadaktaaaβ¦muda huo vidole na ulimi vinapita na kutoka masikioni bill ikija 80kβ¦ukilipa bila kuwaza unalazimishwa ufatwe hotel ukafanyiwe full body massage, namba unapewa.
Kawaida mkuuSasa wee Mwalukumbila hivyo vipele inaibuka navyo unakuwa hujaviona? Ama bichwa lots ni bipele
SawaHuko chumbani wanakooshea vichwa huwa ni madangulo yaliyoboreshwa.Ukiona mtu anapenda kuoshwa kichwa kule chumbani na msichana baada ya kunyoa basi huyo ni mmoja ya watu wanaopenda unzinzi.mimi nasikiaga kinyaa haswa kuoshwa na wale wadad.huwezi amini naweza tapika.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duu makubwa haya, pole sana jamani! Ungemuoa tu ili zile changamoto za mkopo mkazipitia pamoja
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Asante boss kwa ushauri.Hao washajikataa ,wapo kikazi zaidi ,hata scrub nayo ni hatari sana kusuguliwa with bare hands.
[emoji28][emoji1787][emoji1]Nilimkula mmoja nilienda kunyoa nikiwa na bulungutu la mkopo kutoka bank,wakati namlipa nilitoa bulungutu nikachomoa wekundu wawili nikachukua no kesho yake akanitafuta tukaenda kulana ,na niliishia kuuza nyumba kulipa mkopo bank
Man Down!!!Wakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Hebu leta link hiyo ππNikimkumbuka yule Dogo aliyeleta uzi eti aliingia barber shop na buku nacheka Sana
Aisee!!!Wakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani ukaoshwe ambako unaenda na kumkuta mdada Mzuri atakayekuosha, kufanyia scrub, rolls, nk.Lkn mimi huwa naishia tu Kwenye scrub na rolls.
Kilichofanya nije hapa na kisha kuandika huu uzi ni jinsi hawa wadada wasivyo na kinyaa katika kutuhudumia sisi Wakulungwa, Unakuta anakubinya vipele vya kwenye kidevu ambavyo vitatoa usaha, anakuja tena anaibinya pua vinatoka viuchafu fulani hivi wao wanasema ni vimafuta, sasa Unakuta Wakati Mwingine umebanwa na mafua na makamasi yanajitokea tu hovyo, lakini unakuta hawa wadada wala hawajali.
Kama leo hii mdada wa watu ameniminya viupele vya kidevuni na shingoni vikawa vinatoa usaha.
Kamdada kakasema kaka vipele vinatoa usaha!!, Kidume nikajibu ahaaa!!, sawa![emoji23][emoji23][emoji23], Kamdada kakachukua tissue kakanifuta taratibu na vidole vyake vilaini bila kinyaa.
Hakika nawashukuru sana dada zetu Wapendwa wa Saluni za kiume kwa Huduma yenu,pasipo kinyaa.
Yakutolwa ndio nini?
Wakuu habari za jioni?