mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
Kweli kabisaUmewaza katika angle ya mabaya sometimes watu hawana biashara moja tu kuna watu wamewekeza katika kilimo au real estate mikoani na wanapata pesa nyingi tu kwa kumtazama unaweza kufikiria kuwa anapata pesa kupitia kuuza poda ama K na duka ni kiini macho
Tunafanya delivery.Kuna jengo kubwa sana jipya pale sinza mall mkono wa kulia kama unaelekea mwenge biashara za pale uwa sielewi watu wanapataje faida make niliwai kushinda pale week mfullizo huoni wateja wakija kuchukua bidhaaa ghorofa ya pili na ya tatu ila watu daily wapo
Hujawahi kuona mdada analipwa mshahara elf 80 lakini kila siku anakodi boda boda kuja kazini na kuondokaUnakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!
Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.
Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?
Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.
Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.
Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Hatari aisee mtuambie hzo frem mnazilipiaje na biashara zinazongaje ? Nyingi hazina mtaji unaoeleweka na hakuna mzunguko kabisaMhhh ni noumaaa
Yeahhh inawezekana kabisaTanzania kwa sasa kuna watu wanapesa , na pia kuna wadada wanatumika kwa namna tofauti ikiwemo ngada na invisible things
Siri ya kambi...hahaahhaHatari aisee mtuambie hzo frem mnazilipiaje na biashara zinazongaje ? Nyingi hazina mtaji unaoeleweka na hakuna mzunguko kabisa
Wana masponsa yaoHuko Mkuu Ukiwawekea 50k , 100k, 200k & 300k Unawakula Hadi Unakimbia Wewe.
Na wanaishi vzr pengine ka kagari na familia zina run fresh tu ! Ni kweli kuna namna ya pekee ikiwepo msingi kiunoUzi mzuri sana...
Wengi wao wanazuga tu na biashara hizo...
Wadada hao ni wauza mbususu na wengine poda na tigo rusha.
Mfano hai ninao...
Hao wengi sana mkuu,,,, bar maids nk,,, ! Na anavaa vzr, nywele nzuri n.k ! Simu kali , then salary 80k ! Kituko kabisaHujawahi kuona mdada analipwa mshahara elf 80 lakini kila siku anakodi boda boda kuja kazini na kuondoka
Mifano hai ninayo mingi sana yani !!!!Siri ya kambi...hahaahha
Yeah wapo wengi sana wanakomaaga wengine pumzi inakata wanarudisha frem ! !Wapo kibao pia wanafunga biashara sana tu..kama sinza mtu akilipa kodi ya kwanza akilipa ya pili pumzi inakata anatembea.. frem halilali kesho anakuja mdada mwingine bila hata kufanya tathmini ya aina ya biashara nae anafungua baadae anafunga..na hapo kaingia gharama ya kudesign upya frem anavyotaka yeye.. ila pia inakuaga show off halafu maumivu baadae. Pia kuna ambao waume zao wanawafungulia biashara kuzugia tu kuwakeep bize,ninae rafiki yangu mmoja alikuaga dem wangu kitambo alifunguliwa duka la nguo za harusi na anaweza kaa miezi miwili hajauza ila fresh tu na kachkua frem mbili
Wengi wa wanaume wenye wivu,huwaachisha wapenzi au wake zao mishe na kuwafungulia vibiashara uchwara ili apate walau afueni ya kuwamonitor,,labda vi mpesa,duka,na vibiashara biashara ambavyo hesabu zake zitapigwa jion wakati wa kumpitia waende home.....tofauti na akiwa kaajiriwa anaweza akazidisha uongo hata kwa mambo ambayo hayapoUnakuta,
Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.
Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?
Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!
Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.
Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?
Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.
Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.
Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.
Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Inawezekana pia ,,,, akishamfungulia biashara ana uhakika wa kum-monitor mda wote tofauti na akiwa kazini visingizio haviishiWengi wa wanaume wenye wivu,huwaachisha wapenzi au wake zao mishe na kuwafungulia vibiashara uchwara ili apate walau afueni ya kuwamonitor,,labda vi mpesa,duka,na vibiashara biashara ambavyo hesabu zake zitapigwa jion wakati wa kumpitia waende home.....tofauti na akiwa kaajiriwa anaweza akazidisha uongo hata kwa mambo ambayo hayapo