Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Kuna jengo kubwa sana jipya pale sinza mall mkono wa kulia kama unaelekea mwenge biashara za pale uwa sielewi watu wanapataje faida make niliwai kushinda pale week mfullizo huoni wateja wakija kuchukua bidhaaa ghorofa ya pili na ya tatu ila watu daily wapo
Tunafanya delivery.
 
Unakuta,

Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.

Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?

Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!

Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.

Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?

Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.

Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.

Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.

Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Hujawahi kuona mdada analipwa mshahara elf 80 lakini kila siku anakodi boda boda kuja kazini na kuondoka
 
Wapo kibao pia wanafunga biashara sana tu..kama sinza mtu akilipa kodi ya kwanza akilipa ya pili pumzi inakata anatembea.. frem halilali kesho anakuja mdada mwingine bila hata kufanya tathmini ya aina ya biashara nae anafungua baadae anafunga..na hapo kaingia gharama ya kudesign upya frem anavyotaka yeye.. ila pia inakuaga show off halafu maumivu baadae. Pia kuna ambao waume zao wanawafungulia biashara kuzugia tu kuwakeep bize,ninae rafiki yangu mmoja alikuaga dem wangu kitambo alifunguliwa duka la nguo za harusi na anaweza kaa miezi miwili hajauza ila fresh tu na kachkua frem mbili
 
Yeah wapo wengi sana wanakomaaga wengine pumzi inakata wanarudisha frem ! !
 
Unakuta,

Mdada kakodi fremu kodi 1m, kaweka vigauni na madela, ukipiga hesabu yake vigauni kama 7, na Madela 15 jumla haifiki mtaji wa 1M anashinda hapo kila siku.

Mashoga zake wanamtembelea hapo ni mwendo wa kuagiza misosi na vinywaji ki pub cha jiran, nje kapaki IST yake safi kabisa, jioni huyo anaenda kwake, unakuta biashara ngumu lakini anakomaa hivyo hivyo, kuna nini nyuma ya pazia? Au ndo masponsa?

Unakuta mdada kakodi fremu kaweka vyupi pc kadhaa, bra pc kadhaa na pochi kama 10 tu kamaliza. Anashinda hapo biashara hamna na ukimuona mdada mwenyewe high class. Ama kweli dunia ina mambo!

Unakuta mdada kafungua saloon, anashinda ti huko na mashoga zake lakini hakuna kinachofanyika humo ndani na still life going on.

Hasa maeneo haya ya mijini unakuta mdada kafungua let's say bakery, hamna movement zozote lakn kila siku yumo, na kodi ikiisha italipwa ya mwaka. Kuna nini behind?

Kuna mahali nina kiofisi mjini mjini hivi, Jirani yangu ni mdada wa makamo 40's ni zile types za wadada ambao hawazeeki, full kupendeza, sunglasses n.k. Tuwaite mishangazi.

Ni jirani nikimaanisha fremu zetu zimefatana. Kachukua frem mbili kavunja kati ikawa moja kubwa, kaweka mini supermarket nzuri ya kisasa mzigo wa kutosha, kafunga Ac, milango aluminium, pana muonekano mzuri. Hana mfanyakazi anauza yeye mwenyewe, pia ana harrier hizi wanaziita matako ya nyani, hamna biashara kabisa. Kwa siku ameuza sana haizidi laki moja, nadhani watu wanapaogopa kulingana na muonekano wanahisi vitu ni bei Sana.

Mashoga zake wanakuja ni kujiagizia pombe tu na vyakula, akijisikia hata saa 8 mchana anafunga anaondoka, weekend anafunga muda wowote ule.

Mifano ni mingi iliyo hai, wanawake na hizi biashara ni kama geresha, au ni pakuzugia tu wana migodi yao wanayochimba pesa (mabwana ).
Wengi wa wanaume wenye wivu,huwaachisha wapenzi au wake zao mishe na kuwafungulia vibiashara uchwara ili apate walau afueni ya kuwamonitor,,labda vi mpesa,duka,na vibiashara biashara ambavyo hesabu zake zitapigwa jion wakati wa kumpitia waende home.....tofauti na akiwa kaajiriwa anaweza akazidisha uongo hata kwa mambo ambayo hayapo
 
Inawezekana pia ,,,, akishamfungulia biashara ana uhakika wa kum-monitor mda wote tofauti na akiwa kazini visingizio haviishi
 
Anaikalia ya pedeshee au anamgeuzia nyuma..mjini mambo mengi.
 
Back
Top Bottom