Wadada wacheni hii tabia inakera sana wanaumee - Be real

Wadada wacheni hii tabia inakera sana wanaumee - Be real

Acha umende ndugu. Tatizo ni wewe kutafuta wa kumgegeda kwa kuangalia profile zao.
Tongoza unao waona live
Ndo suluhisho lenyewe, sasa yeye analeta lawama zake hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawasifu wadada wa kisasa kwa kuwaendesha puta wavulana wa Kileo. Kila siku kulalamika ingawa uhalisia ni wadada ambao walitakiwa walalamike Kwani siku hizi wanaume ni viumbe adimu kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa. Endelea

View attachment 1845423
Mbona hao available men also they are not available? 50+32+10+5+3 ni 100%......

So hakuna anayepatikana yupo single?
 
Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili tofauti. Unakuta mdada labda ulisoma nae sasa mmechat ukaona profile ukasema ngoja nirushe nyavu na wewe hujamuona muda. Sasa akija yani shape siyo yenyewe, uso sio wenyewe na hata rangi siyo yenyewe.

Ilisha ni cost like two months ago nili import mdada kutoka Dar na nikaji mwambafai kwa marafiki kwamba nina consignment nikachukua na hoteli ya bei ghali ila sasa alivyokuja seriously hata kumla siku mla aka kaa siku tatu nikamtoa akarudi zake Dar. Seriously wekeni picha zenu halisi kwenye face book, instagram, profile, status kama kukutaka nikutake kama ulivyo.

Nimeshapigwa sana hasa na mademu wa JF wabovu kichizi......kuna huyo mmoja majuzi ilibidi nijifiche baada ya kumuelekeza na kufika nilipokuwa maeneo ya baa
 
sasa mimi asubuhi nakuwa mrembo kuliko mchana maana akili imetulia na uso pia..ujanja tongoza unaemuona ndo mpango mzimaa

networking love is not real.
nataka niione hiyo sura ya kirembo
tunafanyaje sasa
 
Nimeshapigwa sana hasa na mademu wa JF wabovu kichizi......kuna huyo mmoja majuzi ilibidi nijifiche baada ya kumuelekeza na kufika nilipokuwa maeneo ya baa
Weweeee wacha dharau zako hizo humu mademu wa JF ni mbomba kinyama kama unataka demu ya JF si hivyo kudharau mm mbona ninao tunafurahii tu.
 
Nawasifu wadada wa kisasa kwa kuwaendesha puta wavulana wa Kileo. Kila siku kulalamika ingawa uhalisia ni wadada ambao walitakiwa walalamike Kwani siku hizi wanaume ni viumbe adimu kulingana na takwimu za Umoja wa Mataifa. Endelea

View attachment 1845423
Inamaana sisi ambao tuna kazi,sio mashoga,sio mapadre, na hatujafika hyo miaka 66 tupo kwenye kundi lipi!!?
 
Weweeee wacha dharau zako hizo humu mademu wa JF ni mbomba kinyama kama unataka demu ya JF si hivyo kudharau mm mbona ninao tunafurahii tu.
Baeleze baeleze, humu kuna visu hatari, anamfahamu Mzigua?
 
Back
Top Bottom