Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa

hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
[emoji41]hata Mimi pia ni zungu nimekosa kitambi tu na kipara.
 
Hahahaha waniulize mm niwape full mkandaaa
Mkuu, yaani tayari umesha tuharibia kabisa hapa Dar. Maana sidhani kama wadada wa huku watatuelewa sisi wenye sifa kama ulizo zitaja hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…