Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Mm sina Mambo ayo..... Wallah tena...
Hahahahah unakwepa eeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah unakwepa eeeh
[emoji23]nikajua nae ni kibonge kabugia spongeEeeh shem wangu sio kibonge huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asanteee nimeshapoa nilikuwa kwenye harakat za utapel nimeumbuka
Mwandiko wake ulionyesha kuwa na wasi wasi.Hahahaha kwann umemuhisi yeye?
We nae ni mweupeBonge na upara ndio pona yangu
[emoji44][emoji44][emoji44]Hata sijaona ila nahisi anauza bamia
[emoji41]hata Mimi pia ni zungu nimekosa kitambi tu na kipara.Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa
hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
Hahahahahahhahaahah[emoji23]nikajua nae ni kibonge kabugia sponge
Rafiki bila kusahau mimi pia nikama haji manara ninamzidi kidogo sana au tunalingana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaacha nikikupata, nimechoka kukula ndotoni.Hahahaha mpaka uache kunitongoza
Endelea kunikataa hivyo hivyo....Ila jaman wewe?
Babe nilitaka nikupumzishe, ila sasa huyu Demiss hana siri...hata mimi nilihisi tu lazima utakuwa wewe
Aisee😂😂😂,hana maana kabisa,anafanya sisi wengine tuonekane hatuna maana.Ana pesa sasa mbahili balaaa anachofanya yeye ni kukuchafua tu ukitaka kumtapeli