Hapo ni laterally inverted image mkuuKwani Mkuu wewe ni kibonge na upala unao?
sio sura tu wanaonyeshana hadi vikojoleo vyao kabisa.Kumbe humu jei efu watu wanajuana sura
Mimi hawezi nipata juu sio maarufuKabisaa ndiyo hivyo
Uzuri pia sina hata macho makubwa , Demiss ntoe hata buku 5 mtu wangu, naamini ushaondoka Mkombozi huku ukicheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
HahahahaHapo ni laterally inverted image mkuu
We ni maji ya kunde ni jana tu nimeona vidole vyakoππila una kucha nzuri[emoji41]hata Mimi pia ni zungu nimekosa kitambi tu na kipara.
Na utanasa,ipo siku yako.Kabisaa ndiyo hivyo
Yaani afu hapa wanajidaiPeeee kumbe weusi wengi