Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Nina pesaa hapa ngoja nikutumie picha salary hiyo imebak balance
Uzuri pia sina hata macho makubwa , Demiss ntoe hata buku 5 mtu wangu, naamini ushaondoka Mkombozi huku ukicheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
1564318507931.jpeg
 
Hahahhahaha uwiiii
Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa

hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
 
Back
Top Bottom