Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Anawafanyia na wengine tena makusudi hata mm alipanga kunichora alafu anaongeza na chumvii huyu ana ndimi mbiliii

Anataka kukufanyia hivyo labda sababu anahisi na wewe unawachora wengi humu ndiyo maana...

Poleni aisee... ila atakua keshasoma hii thread na atakuja na atabadilisha mbinu...


Cc: mahondaw
 

Hivi bado watu wanatiana huko halafu wanakuja kusemana public?

Pussy na dick ina overwhelm watu sana aisee!

Na hivi mtu anatongoza mtu JF atakua ameji-sacrifice kiasi gani aisee?

Unawezajikuta unatongoza mkeo kabisa!

What the fvck is that?

Rule nombre uno:.....Usikae utongoze mtu JF,otherwise you will get high with your own supply!
 
Dah...sasa mambo gani haya? [emoji44]
 
Mkuu, yaani tayari umesha tuharibia kabisa hapa Dar. Maana sidhani kama wadada wa huku watatuelewa sisi wenye sifa kama ulizo zitaja hapo juu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha na wewe umelia,basi kweli yemekukuta! Mkila pesa za wasamalia wema si huwa mnawachomoka ki ulaini Tu,chomokeni na Kwa zee la upala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…