Eeeeh hahahahaha jamani inabidi nije pm... Hivi mimi nipo humuu au!?? Mbona sijui chochote
Sio huyu kweli
Mshana Jr...without sunglasses
. Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])www.jamiiforums.com
Eeenhee hiyohiyoOooh nikiwa nimebeba mdama wa bibi?
Sasa mtu wangu mbona unaniangusha, naomba buku 5 unaniringishia hayo makaratasi mekundu kama karatasi za kupigia kura[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Poa, nakujaAaah njoo Waswanu huku uzunguni
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Eeenhee hiyohiyo
Dah...yaani....dah[emoji2960]Mambo ndo hayooo
Dhahabu yangu ni watoto wazuri kama weweHutak kununua dhahabu kama mwalimu wa morogoro
Sio mara ya kwanza kukuambia hivyo, endelea kusema natania...Hebu ngoja kwanza
Halloooo....! Niko nyuma ya wakati. Mimi mbona hamnipi jamani Demiss? Basi hata nikachungulie tuWeee acha kabisaa ni danguro humu watu hamjui
Hapo utakuwa umecheza kama DiattaAu nikufate huko huko
Nini? Huyu ndio sana?Ila jaman wewe?