Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Hebu inama kwanza tuone kama huna kipara[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu inama kwanza tuone kama huna kipara[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeh[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]Poyeee
DahPoleee mpenzi humu ni balaaa
Amen dearBarikiwa mpenzi
Baadae tutazaaa cha kiwasira ..Basi tuzae katoto kamoja ka kisomali
Ukimjua unimegeeeNdio kusema unamfahamu halafu mie umeniacha nazubaa tu[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Tumeshatapeliwa vya kutosha..Nimecheka kinomaaa unaogopa kutapeliwa mxewww
Mimi sijawahi jua kama kuna watu wanajuana hivyo nje ya jfsio sura tu wanaonyeshana hadi vikojoleo vyao kabisa.
Dah,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilipotea ikagoma kurudi nikaachana nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah shost nikichambwa utakuja kunitetea ndugu maaana uwiiii hahahahah ila ya miwan nilisahau atiii
He he heiyaa...Ukimjua unimegeee
Hicho kiuno ndio wewe hapo Demiss?Pole sana karibu pm ujilie maudakuu
[emoji23][emoji23][emoji23] nikawa nashangaa mbona limepitiliza mda wa kulipuka ilo bomu.Woiiii
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo jana ulitegesha bomu ukawa unasubiri mlipuko mweeh
[emoji23][emoji23] hapana bhana ni katika kunogesha tu.Kwa hiyo wote humu weupe [emoji23][emoji23][emoji23] na mna vipara
Pm ndio wapi Demis? NijePole sana karibu pm ujilie maudakuu
wanajuana sana tu mbona hata wewe ukiamua kuwajua unawajua tuMimi sijawahi jua kama kuna watu wanajuana hivyo nje ya jf