Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
ππππππ njoo uchukue pliznaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nikawa nashangaa mbona limepitiliza mda wa kulipuka ilo bomu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππ njoo uchukue pliznaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nikawa nashangaa mbona limepitiliza mda wa kulipuka ilo bomu.
Si hapa unamwaga kuku kwenye mchele mwingi πAaah mm nimekutangaza wapi
Kumbe zile story kwamba demiss ni mwanaume zilikuwa za kutungwaI see humu kumbe kuna midume inawapitia kweli kweli hawa. Mpaka Demis amelia lia?
Hahaha hahaha ewaaah nahisi ucongo ucongo
[emoji23][emoji23] hapana bhana ni katika kunogesha tu.
Nawewe punguza kudanga...yaani kila siku wewe unagongwa na kutoswa.....jiangalieMsije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
Msinifanyie hiviii... Mimi ni mwanachama mwenzenu hivyooooo ohooooHe he heiyaa...
Pambanaaa utamjua.
Ndio kusema unamfahamu halafu mie umeniacha nazubaa tu[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]Unamjua sanaa
+2557737782........Kama ni serious nijibu PM ila usije kunianika kama zee lenye upara [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Tena helaaa mupyaaa kabisaa weka namba nikutumie ten
wapi tena uko niwahi kabisa PM au wapi bibie ?[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo uchukue pliznaaa
Toka hapo nje kwakowapi tena uko niwahi kabisa PM au wapi bibie ?[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
WeeeeeeNaona PM zinamiminika tu kwangu! Jamani sio mimi! Mimi ni mwembamba wastan, sina macho makubwa na wala sina upara, msinizeeshe!!