Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Leo nipo Chitchat nafurahia weekend shamba. Nimecheka huyu Demiss akimzungumzia dume la JF akanikumbusha story ya zamani pale kwetu Musoma. Kuna utamaduni wa zamani kule ukimtongoza dada akakubali mkilala naye ukashindwa kumrizisha labda jogoo hapandi mtungi basi anakwenda kuwaambia wasichana na inatangazwa mtaani huna uwezo. Lakini unaweza kuwa basi kweli huna uwezo/nguvu za kiume na dada kishakugundua basi unaamua kupoza mambo usitangazwe kwa kumhonga pesa zaidi. Basi jamaa mmoja akapokea mgeni, baada ya kumueleza huu utamaduni huyu mgeni kama mwanaume wa jf tena toka Dar akamwambia mwenyeji wake naomba mwambie msichana mmoja kuwa mimi nina pesa lakini bahati mbaya "chini" kumechoka au kwa maneno ya mwenye nchi basi mguu wa tatu haufanyi kazi. Deal done...mwenyeji kampata msichana wa Kikerewe kamwambia unamuona huyo jamaa yangu...? Ndiyo,,,,basi jamaa yangu huyo kajaaliwa Elimu, fedha na Madaraka lakini tatizo tu hana issue....hapigi mambo! Dah...huyu dada akaona deal kawindawinda huyo katoka na jamaa....ooh hili jamaa kumbe jf senior member rijali likamnyoosha. Kutoka wenzake wasichana kila akimuuliza, anasema lipo vizuri wanakataa wanajua kapata mshiko anawadanganya wasipate na wao. Basi kila anayejiendekeza ananyooshwa.....hadi kadhaa jamaa limefaidi ndiyo akianza kulikimbia maana linakula mzigo bila malipo. Chagueni basi kama mtapenda kumwamini au mwende na nyie mkanyooshwe na dume la jf
 
Hahahaha hiyo hata wanaume wanasema demu mwenyewe mauno zero sasa wengine wanaenda kutest mtambo wanapewa mauno balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…