Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Wadada wageni Jf kuweni makini na dume hili la JF

Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa

hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
Kumbe umeliona hilo eeehh..
Nimejikuta nashangaa wote wamekuwa weupe
 
Back
Top Bottom