Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Kumbe umeliona hilo eeehh..Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa
hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
Nimejikuta nashangaa wote wamekuwa weupe