Mkuu, yaani tayari umesha tuharibia kabisa hapa Dar. Maana sidhani kama wadada wa huku watatuelewa sisi wenye sifa kama ulizo zitaja hapo juu.Msisahau kuleta mrejeshooo
Hawatakusikia,mbele ya pesa hawachomokiVizur mm nawaambiaga hii ya Leo wasiponisikia watajutaaa
Njoo tuonaneAcha basi mbona tunaanza kuanikana tena.
Wewe tena,unaanzajeNjoo tuonane
Njoo tuonane
HahahahahahaWewe tena,unaanzaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh huuu ujasiri umeupatia wapi
Mkuu, yaani tayari umesha tuharibia kabisa hapa Dar. Maana sidhani kama wadada wa huku watatuelewa sisi wenye sifa kama ulizo zitaja hapo juu.
Hahahahahaha
Kwani siwezii
Pole kwa yalokukutaMsije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuma ya keyboard jamani, mwenyewe atakuwa kasoma mara mbili mbili
Kwa nini etiHuwezi kabisa
Woga wako hauna mfano😂Kwa nini eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Woga wako hauna mfano[emoji23]
Uzuri pia sina hata macho makubwa , Demiss ntoe hata buku 5 mtu wangu, naamini ushaondoka Mkombozi huku ukicheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Hahahahah hahahahahhahahaha
Huyo anawatisha tu,hataki mfaidi kama yeye..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini si unaona tunapewa tahadharii?!
Ila njoo tuonane basi, nione upara huo
Teh [emoji41][emoji28]Nilianza kujihisi ni mimi ila kwa vile huyo ana macho makubwa basi siyo mimi.
Ndo maana nakuita tuonaneHuyo anawatisha tu,hataki mfaidi kama yeye..