Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Njoo basi PM,mimi mweupe ila sio bonge wala sina upara.Abee
Ewaaaaa...hayo ndio maneno sasaHaya twende Pestana tukapoze rohooo
HahahahahahaAiseee [emoji23][emoji23][emoji23],acha nitafute nauli
Nakwambia labda uhame nchi.πHahahahahaha
Hatari mama [emoji28]Huhuuu kuna jambo siyo kwa cheko hili mpenzi wangu hahhaha
Nisamehe mimi jamani...Nakwambia labda uhame nchi.[emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£ Yani mpaka unatia huruma.Nisamehe mimi jamani...
Nilikuwa nataniaa
Hahahaa naogopa usije nianika huku na kitambi changuNjoo basi PM,mimi mweupe ila sio bonge wala sina upara.
Next week nitakuwa mitaa hiyoOooh umefikaa rafiki
Acha kuogopa utakosa mambo mazuri shauri yako.Hahahaa naogopa usije nianika huku na kitambi changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani mpaka unatia huruma.
Bora niyakose tu kuliko kuumbuliwa hukuAcha kuogopa utakosa mambo mazuri shauri yako.
HahahahahahaAcha kuogopa utakosa mambo mazuri shauri yako.
Hilo lidume linaharibu sifa ya madanga ya jf
Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
HahahaBora niyakose tu kuliko kuumbuliwa huku
Yaani karibia wanaume wote hapa mnataka kutuaminisha kuwa nyie ni weupe [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani Jf.......eti kasoro ubonge na macho makubwa
hhaha alivyotaja mweupe si picha yako ikanijia xtaper sema alipotaja bonge nikakutoa
π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muone kwanza