Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unanipenda na kunijali eeh.Poleee sana mamiiii....ndio maana nilishangaa sio kawaida yako ku mute vilee
Ingia basi mara moja
Uache tabia mbaya wanawake wote jf unataka kuwamiliki
Nimefurahi tuu[emoji23][emoji23][emoji23]Mamy siyo kwa cheko hilooo
Nakuona unavyoweka uzio wasikuchukulie danga lako!Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.
Sana sana
Nikija Dodoma nitakuPmEwaaah
Kiaje vp, huoni Kama unawivu na wenzio kula mema ya nchi. Unawatisha wenzio ili sponsa umfaudu pekeyako.Hahahaha kiaje?
Kama unatoa tahadhari ujue yamekukuta makubwa....Rimenifany nn eti?