Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nashindwa kukuelewa ujue, unanitangaza huku bado sijakukula....Hahahahah wewe unajipenda kweli unamkabidhi fisi bucha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kukuelewa ujue, unanitangaza huku bado sijakukula....Hahahahah wewe unajipenda kweli unamkabidhi fisi bucha
Inachemka kwa karne ngapi...Alafu subiri dawa yako inachemka
Asante mamy[emoji125][emoji125][emoji125] nilijua ni kitendo cha muda tu utazisifia kucha zangu maana hakuna ambae hajawahi kuzisifia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni maji ya kunde ni jana tu nimeona vidole vyako[emoji23][emoji23]ila una kucha nzuri
Sema utanifinyia kwa ndani bana, acha woga...Hivi jaman wifiii huyu mwifwa ana utan na mm nitamchapaa atiii
Ujiandae kabisa sina muda wa kukuandaa mimi...Nakuja wangu wewe tena
Haijalishi..acha tusafishe machoAhsante mkuu,
Picha za mitandaoni hizi kaka.[emoji4]
Ndio kumbukumbu hizo....ukihonga hiyo hela haijatumika ila imepotea.Hahahahah an hahahaha uwiiiii wewe una nin lakin jaman?
Kutafakari nimekosea wap mpaka uje unianike huku 😂😂😂Unaenda wapi