realnumber
Member
- Dec 30, 2019
- 12
- 5
Habari wana jukwaaa
#member mpya
Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu kwani kuna wakati nilikosa hata hela ya kalo na kulazimika kurudi mtaani kuzisaka nilipata tenda y kusaga mashine 1 year.
Mademu walinikimbia na wengine waliniambaiga " yule kaka alikuwa na akili Leo kaishia kuwa msagaji" nilijitahidi kuvumilia maneno yao wengi wao ni maex wangu wa secondary.
Mungu si Athumani Leo Hii ndio nawatibu ila changamotokubwa wengi wanahitaji turudiane na wengine ni wake za watu jehe mnanishauri na wale au niwapotezee