Wadada wakiona life gumu ndio wananitafuta

Wadada wakiona life gumu ndio wananitafuta

realnumber

Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
12
Reaction score
5
Habari wana jukwaaa
#member mpya

Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu kwani kuna wakati nilikosa hata hela ya kalo na kulazimika kurudi mtaani kuzisaka nilipata tenda y kusaga mashine 1 year.
Mademu walinikimbia na wengine waliniambaiga " yule kaka alikuwa na akili Leo kaishia kuwa msagaji" nilijitahidi kuvumilia maneno yao wengi wao ni maex wangu wa secondary.
Mungu si Athumani Leo Hii ndio nawatibu ila changamotokubwa wengi wanahitaji turudiane na wengine ni wake za watu jehe mnanishauri na wale au niwapotezee
 
Miandiko ya wauguzi Mara nyingi ndo hivi huwa haieleweki,
Ila achana nao hao watakupotezea muda wana tamaa tu ukiwapa nafasi watakushusha chini
 
Kwenye jehe hapo ndo nimeacha kusoma though nimepoteza dakika 3 tayari
Habari wana jukwaaa
#member mpya

Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzo tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi chuo flank. Kuna mabinti flani nilitoka nao bahati nzuri walinikimbia kitokana na maisha kuwa magumu kwani kuna wakati nilikosa hats hela ya kalo na kulazimika kurudi mtaani kuzisaka nilipata tenda y kusaga mashine 1 year.
Mademu walinikimbia na wengine waliniambaiga " yule kaka alikuwa na akili Leo kaishia kuwa msagaji" nilijitahidi kuvumilia maneno yao wengi wao ni maex wangu wa secondary.
Mungu si Athumani Leo Hii ndio nawatibu ila changamotokubwa wengi wanahitaji turudiane na wengine ni wake za watu jehe mnanishauri na wale au niwapotezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa Jf wote mabaharia sawa, hapo wewe rudi kwenye uzi wao pendwa unao trend saizi "Kula tunda kimasihara " utapata mbinu nyingi sana
 
Fanya lolote sisi tupo upande wako.
 
Kuna watu huwa wanasingizia kusoma vyuo sijui shahada ila kusema ukweli kwa jinsi wanavyo andika na kujieleza chuo pekee walichofika ni madrasa.

Sidharau ambao hatujasoma vyuo vikuu ila bora usitaje hata mambo ya vyuo kuliko kujiaibisha namna hii.
 
Fanya kimasihara mkuu
Tutahitaji mrejesho
[emoji854]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom