Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

Wadada Wakisukuma ni wazuri mno, hakuna Wanawake wazuri kama hao hapa Tanzania

Sio mapishi, sio mapenzi, sio urembo. Jaman, mumebarikiwa sana, hamna wengine hapa Tanzania kama nyie.
Weeeee! ACHA kutupanga. Wasukuma sio watulivu kwenye ndoa. Hawafai, labda Kwa asiyejua. Ila kwa Mimi ninayefahamu hunidanganyi NG'OO
 
Back
Top Bottom