Saiv kwa kiasi kikubwa wanakuwa driven na njaa mkuu,watu wanatumia mishahara yao tu saiv,pesa za ku maintain nyumba ndogo hamnaTatizo katika kuchagua huwezi jua ni njaa inamleta kwako au upendo wa dhati.
Mwanangu nimeshtuka kila unapogusa ni tabasamu na full ushirikiano ili ujipinde uokoe jahazi linalozama.huku jamaa bado anabana.'ukinunua dai risiti'Saiv kwa kiasi kikubwa wanakuwa driven na njaa mkuu,watu wanatumia mishahara yao tu saiv,pesa za ku maintain nyumba ndogo hamna
wizi utaanza kushamiri kitaa
ni.kweli lakini.ina impact kwakuwa vipato kama vile vilikuwa vinaleta mzunguko mkubwa wa hela mtaani(multiplier effects) sasa jamaa kama hao unakuna anamichepuko kibao.kwasasa yote inabidi aikimbie..........wadada watatokea wapi hapo?!Sio kweli, wanaosota ni wale waliokuwa na mshahara milioni moja, alafu unakuta ana magari aina tatu tofauti, bata samaki samaki, anakaa kwenye apartment masaki...sasa unategemea kweli alikuwa hachezi dili zozote huyu??? wemgine waliokuwa wanapata kihalali haswa kwenye private sector wanadunda maisha kama kawaida...
mnyoosho unapiga kila kona.nidhamu inajileta yenyewe.kabla ya kufanya mtoko unakadiria gharama na faida au hasara zake unapima na kipato.namba isiposoma unatafuta bodaboda[emoji3] mafuta pia yanazidi kupande beiSasa hivi mtaani tunaheshimiana, saa hizi tunatembelea bodaboda kwa wingi na tushaanza kusahau Verossa.
Hajaraisisha, kwani cost of acquisition is low but cost of maintenance is higher, kwa hiyo unaweza ukaoa kirahisi lakini watu wakaanza kukut*mbe* kwa sababuya ugumu wa maishaBaba ***** kawarahisishia vijana ambao hamjaoa muoe sasa