Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

Tatizo katika kuchagua huwezi jua ni njaa inamleta kwako au upendo wa dhati.
Saiv kwa kiasi kikubwa wanakuwa driven na njaa mkuu,watu wanatumia mishahara yao tu saiv,pesa za ku maintain nyumba ndogo hamna
 
Na ndio kwanza mjomba anaiedit namba ili hata walioko mbali waione na waisome kwa ufasaha
Aisee hii hali itasababisha maangamizi katika familia.huku wazururaji/ombaomba wanabanwa.
 
Sio kweli, wanaosota ni wale waliokuwa na mshahara milioni moja, alafu unakuta ana magari aina tatu tofauti, bata samaki samaki, anakaa kwenye apartment masaki...sasa unategemea kweli alikuwa hachezi dili zozote huyu??? wemgine waliokuwa wanapata kihalali haswa kwenye private sector wanadunda maisha kama kawaida...
ni.kweli lakini.ina impact kwakuwa vipato kama vile vilikuwa vinaleta mzunguko mkubwa wa hela mtaani(multiplier effects) sasa jamaa kama hao unakuna anamichepuko kibao.kwasasa yote inabidi aikimbie..........wadada watatokea wapi hapo?!
 
Sasa hivi mtaani tunaheshimiana, saa hizi tunatembelea bodaboda kwa wingi na tushaanza kusahau Verossa.
mnyoosho unapiga kila kona.nidhamu inajileta yenyewe.kabla ya kufanya mtoko unakadiria gharama na faida au hasara zake unapima na kipato.namba isiposoma unatafuta bodaboda[emoji3] mafuta pia yanazidi kupande bei
 
Na ndo maana nampenda sana uncle
 
Wew kama kipato chako halali hakika utamuelewa magu..lakin kama njia zako za mkato lazima uisome namba
 
Baba ***** kawarahisishia vijana ambao hamjaoa muoe sasa
Hajaraisisha, kwani cost of acquisition is low but cost of maintenance is higher, kwa hiyo unaweza ukaoa kirahisi lakini watu wakaanza kukut*mbe* kwa sababuya ugumu wa maisha
 
Maisha yako kawaida sana ila kwa wale waliozoea kuishi Kiujanjaunjanja ndo wanaimumia sana ila kama kipato chako kilikuwa halali raha sana.
 
Wew kama kipato chako halali hakika utamuelewa magu..lakin kama njia zako za mkato lazima uisome namba
Bongo tumeshazoea kuishi kimagumashi.sasa haya maisha ya ulaya yanatupa full stress wote.
 
Back
Top Bottom