Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

Na hawa wa kujileta ni watamu sana make unakuwa kitambo unamzimia halafu ghafra kakuwashia taa ..weweee! utahisi umetokewa na malaika vile
yap wanakuja sana siku hizi hata wale.wasunbufu wamelegea na mwendokasi wa baba j
 
Nishidaa eti at a y kununulia kyupi amna teh teh baba jesca [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji126] [emoji26]
 
Nishidaa eti at a y kununulia kyupi amna teh teh baba ***** [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji126] [emoji26]
hataree.......mnyoosho kila kona[emoji108]
 
Maisha yako kawaida sana ila kwa wale waliozoea kuishi Kiujanjaunjanja ndo wanaimumia sana ila kama kipato chako kilikuwa halali raha sana.
kipato halali na matumizi yaliyonyooka
 
sahiv ukitongoza unaulizwa utanioa
Mkuu kama ulijua kuna mwingine nilikuwa namfukuzia kitambo sana chenga nyingi nikaona isiwe shida nikajiengua, mwanzoni mwa wiki alipiga simu eti kunisalimia!!! cha kwanza niliomuomba uncle Magu kabla ya mungu nikatumia fursa nikala mzigo.
 
Hilo halina ubishi kbs, kwa namna moja tunanufaika na baba Yesca maana kuna mademu kamwe tusingethubutu kuwagusa ila sasa tunapamia.
 
Hakuna ubishi kwamba hali ya maisha
Bongo imekuwa ngumu na ukakasi mara
BabaJesca alivyoanza kutoa mbinyo kila
kona,watu wanalia kimyakimyaa. wengine wametelekeza wake/michepuko kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. huku BabaJesca akitoa kauli majuzi ya kuwa wanaolia njaa ni wale waliozoea kupata hela za bure(hapa ndio kundi la wanawake/wadada lipo).ni wahanga wakubwa wa utawala huu.

Uchunguzi nilioufanya ni kwamba asilimia kubwa ya wadada na kiasi kidogo wake za watu wasiojitambua wamenyooshwa na kuwa wadogo kama piritoni.hawana usumbufu kama ilivyokuwa katika utawala wa Baba Ritz. basically wako cheap and easy to get.
Naamini mbinyo huu ukiendelea soon wataanza wao kutupapatikia.

Hivyo wanaume ukiona Dada anatoa ushirikiano kiwango cha rami usijione wewe kuwa shababi/handsome/matawi sababu ni mnyoosho wa Baba ***** mtaani. Poleni wanawake na maendeleo.
[emoji23] labda wa mtaani kwenu vilaxa
 
Wengine walishajirudia vijijini kwao coz hali si hali.

NAMBA LAZIMA ZISOMWE TU BY ANY MEANS
 
Wafundisheni kutafuta pesa zao na kujitegemea, watazoea tu.
 
Mkuu kama ulijua kuna mwingine nilikuwa namfukuzia kitambo sana chenga nyingi nikaona isiwe shida nikajiengua, mwanzoni mwa wiki alipiga simu eti kunisalimia!!! cha kwanza niliomuomba uncle Magu kabla ya mungu nikatumia fursa nikala mzigo.
huyo wako tu mkuu.hawana swaga hawa viumbe kwa sasa
 
Hilo halina ubishi kbs, kwa namna moja tunanufaika na baba Yesca maana kuna mademu kamwe tusingethubutu kuwagusa ila sasa tunapamia.
Wanatoa ushirikiano sana kwa sasa.kama kumsukuma mlevi.huhitaji kutoa jasho.
 
Back
Top Bottom