Wadada wanadanganywa sana na Rose Shaboka


Mmh wewe!

Huyo msimbe aliolewa tena?

Ila Wanawake bana! Kamshtumu mme wake weee huku akiwashawishi wanawake wengine walio kwenye ndoa kuwa ndoa sio kitu kumbe anawaingiza chaka hata kipindi sijui kiliishia wapi?

Wamebaki wajinga wengine eatv (dadaz) wale nao siku zao zinahesabika ni wajinga kuliko wapenzi wao ila wanaume kazi tunayo hiyo jinsia hafai kuonewa huruma ishi nae kibabe ndo dawa yao!
 
Hahaha kumbe? Baada ya kuwa amekosa akaamua kuwashauri wenzake na kuonesha kuwa Wanaume ni watu wabaya.

Kumbe alipata Bwana akasepa? Je alirudi kuwambia Wafuasi wake?

Harafu wafuasi wake ni wale Loosers tu.
😆😆
 
Alikuwa anafadhiliwa vipindi na Mwanaccm mmoja kigogo.....alipotymbukiwa pesa zilikata....na kipindi kikafia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wa UK sijawahi muelewa wallah.
 
Pale Dadaz kuna mmoja kaolewa na ndoa juu,
 
BRO HIVI ILI NALO NI DUME?
NI SUALA LA MUDA, HILI PAPAI.
LINA SIFA ZOTE ZA KUAJIRIWA PALE WASAFI
 
Jina lako linaakisi maandishi yako
 
Mtoa mada hapo kwa Angel Bernard naomba usakafie sijaelewa
Huyo mume alikuwa na uhusiano na Angel benard na wamezaa mtoto mkubwa
Ndipo kuolewa mchungaji Rose
Mie sioni ubaya wa Rose sema muhimu akili kumkichwa anashauri watu wasikimbilie ndoa wajiandae kiakili na kila kitu maana ndoa ni kujikana kuvumiliana sio rahisi bora utafute mtu kwa kuchelewa ila muemdane kuliko kukurupuka ukakimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…