ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Alianza Joyce Kiria kuwadanganya wanawake kuwa ndoa sio lazima, usingle mother unatosha, alipopata dume jipya akaolewa tena na kuwaacha solemba wafuasi wake.
Wanawake wengi ni wajinga, wanapenda kufarijiwa hata kwenye ujinga, ukishawasoma jinsi walivyo wajinga basi utawapiga pesa mpaka basi.
Mmh wewe!
Huyo msimbe aliolewa tena?
Ila Wanawake bana! Kamshtumu mme wake weee huku akiwashawishi wanawake wengine walio kwenye ndoa kuwa ndoa sio kitu kumbe anawaingiza chaka hata kipindi sijui kiliishia wapi?
Wamebaki wajinga wengine eatv (dadaz) wale nao siku zao zinahesabika ni wajinga kuliko wapenzi wao ila wanaume kazi tunayo hiyo jinsia hafai kuonewa huruma ishi nae kibabe ndo dawa yao!