Wadada wanaofaa kuolewa

Wanawake wa hivi kupata ni ngumu sanaaaa.
Walioko wanatamani maisha ya Kajala na binti yake.
Hata tulio kurupuka kuingia kwenye ndoa unajikuta umeoa ngedere kasoro mkia tu...!!!
Kipengele cha mwanamke kuwa mtiifu ama kuwa mnyenyekevu kwa mumewe hakipo.
Wanawake wamekuwa sio watulivu kwenye ndoa zao.

Sifa hizo hupati na hata ukipata lazma litabadilika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…