Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Yani wanaume huwa mnachekesha sana, unataka mwanamke mwenye sifa zote hizo halafu bado unaenda kuchepuka na mwanamke ambaye hana sifa hata moja kati ya hizo, na bado unamhonga hela (ambazo mwanamke wako mkamilifu kakusaidia kuzitafuta) eti kisa tu mchepuko anajua kukatika

Halafu kwanini unataka mwanamke wa kukufanyia yote hayo na bado asikuombe hela na akusaidie kuzitafuta, wewe jukumu lake kwako linakuwa lipi sasa, maana hapo ninachokiona ni mwanaume kuwa mzigo tu kwa huyo mwanamke

Yani yeye akufanyie majukumu yote hayo muda wowote unaotaka ila wewe kumpa pesa ni hadi ujisikie, ndio maana nasemaga mwanamke kukubaliana na matakwa ya mwanaume wa kiafrika inakubidi usiwe na akili, wanaume wengi wa kiafrka ni mizigo
 
Kama ninyi mlivyo mizigo
 
Kama ninyi mlivyo mizigo
Hakuna mwanamke mzigo ila ni kwamba tu wanaume wengi siku hizi mnakimbia majukumu yenu, ni hivi mwanaume jukumu lake ni kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto na mwanamke jukumu lake ni kufanya kazi za ndani na kulea mme na watoto na kama ni kusaidiana majukumu basi kila mmoja asaidie ya mwenzie, anything short of that basi ujue mmoja ni mzigo kwa mwenzie na kamfanya mwenzie mtumwa
 
kama haya ndio mawazo yako naomba unicheki sms
 
Umeongea point mwishon. Dogo anawaogopa wazazi wake balaa

Binti kumuapproach ni ngumu, ndo kinafanya kawe special hadi wanakagombania. We unaanzaje kumtongoza dem anaekusalimia shikamoo na kusepa kila ukionana nae?

Na hii vita ni ya chinichini hata wazazi sijajua kama washajua wanaandaliwa kimtego, haya mambo yapo hasa kwa mabinti wa kiislam na kiarabu
Huyo binti ni mzuri chunguza vizuri, kana shep na sura nzuri, na anajijua ni mzuri ana options, ndo maana kanapata nguvu ya kukimbia wanaume, na kuwapa wanaume Shikamoo za kuwachora, angekuwa mbovu angejioa yeye mwenyewe na Shikamoo zake na mbio zake mbona Teslarati
 
Back
Top Bottom