James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Mtazamo wangu ni kuwa watu wanaojibu hivi kwa maswali kama haya huwa ktk positive side ya swali.siwez pingana au kukubaliana na wew kwa kuwa ni mtazamo na mawazo yako
Inawezekana upo sawa au si sawa
Uwe na mchana mwema