Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior)Ebu jaribu kuziishi hizo sifa ukiwa na mpenzi wako, nakuahidi ndani ya miezi sita tu, utatulete kadi za harusi
Tatizo, fainali ni uzeeniMkiwa na msimamo thabiti wa kutokuwazia kuoa kwakweli mtaishi kwa furaha sn
vipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho?Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga.
Hapana sina utata wowote usinihukumu haya ni maandishi tuWewe unaonekana ni mtata, mume lazima awe na kazi ya ziada
unavaa mataiti tu ๐Sivai khanga..
Tutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusivipi wahuni wameshakuadd kwenye group la watakaochomwa moto siku ya mwisho?
mimi ntakua idara ya mapokezi pamoja na Musa na EliaTutakuwa wateule wachache tutakaosherehekea na kina mama jusi
Endeleeni kuvaa majinsi tuHapo kwenye kufunga kanga mbona mtihani mweee
Mbona amen zimezidi; chukua chuma hicho ๐Amen๐ค๐ค
Niko naye hapa nampa maupendo tu ๐
Inaashiria kujistiri, na kuonyesha yeye ni mtu wa kazi katika familiaEquation x kuvaa kanga nayo sifa eti? Naomba kueleweshwa umuhimu wa mwanamke kuvaa kanga akiwa nyumbani.
Vibukta je?Endeleeni kuvaa majinsi tu
Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐Mbona amen zimezidi; chukua chuma hicho ๐
Wengine wanasema ujasiriamali sio akili ya kuzaliwa nayo, bali unaweza kufundishwa na kuwa mjasiriamali.Hapaswi kuziishi bali inapaswa kuwa ni tabia yake halisi (Intrinsic behavior)
Ili umpige tukio au ๐Tulia wewe ๐คจ๐คจ,, namvuta taratibu taratibu๐๐๐๐