Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga.
🤣🤣Unawapa kampani ama unakimbia ushangazi wa mkeo?

Safi lakin vibinti vibichi vinamsaidia kutunza ndoa yake,yenye 23 years anniversary 🙏
 
Wanawake wenye quality za kuolewa huwa wanagombaniwa sana sokoni.

Ngumu sana kukutana na mwanamke alienyooka anaefika miaka 30 hajaolewa. Labda awe anakaa porini ama sehemu ambayo hakuna wanaume.

Ila akae Dar kwa mfano wife material anaolewa mapema sana
Kwahiyo unataka kusema wanawake wote waliofikisha miaka 30 bila kuolewa sio wife material?
 
Back
Top Bottom