Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Yeahππππ
Tafuta ubavu wako mapema; mambo ya kusema muda wa mungu bado ni kauli ya kukata tamaa π πTumeambiwa hawai wala hachelewiππ€
π€£π€£Unawapa kampani ama unakimbia ushangazi wa mkeo?Nimeoa mkuu, mwaka wa 23 huu; pia tunapasha pasha huku nje ili kuwapa kampani hawa ambao hawajaolewa, wasijihisi vibaya kwamba tumewatenga.
Mchumba huyo amejileta, ongea naye kwa unyenyekevu πBado sanaaaaππ
Wengi siku ya kwanza, wanaigiza kama walemavu wale omba ombahii ndo hoja ya msingiπ
Sawa Asante,,nmekuelewa mkuuππΌππΌOn a serious note:msikilize Kaka yako equinox ana madini kuhusu masuala ya ndoa Mana ana uzoefu nayo.
Kama unavaa suruali ili kuonyesha piston, unakuwa hufai kuwa waifu matirio π ; kuvaa kanga ukiwa nyumbani inatafsiri we ni mtu wa kazi za kifamiliaHadi kufunga kanga!
Wanawake mna kazi sana
Hahaha ππ,, sawa ngoja nitafute kiongozi ππTafuta ubavu wako mapema; mambo ya kusema muda wa mungu bado ni kauli ya kukata tamaa π π
Muhimu ni kumsimamia katika hiyo misingiUkiingia ndoani mambo ugeuka
Kwahiyo unataka kusema wanawake wote waliofikisha miaka 30 bila kuolewa sio wife material?Wanawake wenye quality za kuolewa huwa wanagombaniwa sana sokoni.
Ngumu sana kukutana na mwanamke alienyooka anaefika miaka 30 hajaolewa. Labda awe anakaa porini ama sehemu ambayo hakuna wanaume.
Ila akae Dar kwa mfano wife material anaolewa mapema sana
Kwakweli inabidi nichangamkie fursa ππππ€Mchumba huyo amejileta, ongea naye kwa unyenyekevu π
Ndiyo maana nikasema hapo juu kwamba wanawake wana kazi sanaKama unavaa suruali ili kuonyesha piston, unakuwa hufai kuwa waifu matirio π ; kuvaa kanga ukiwa nyumbani inatafsiri we ni mtu wa kazi za kifamilia
Wengi wanapoteza sifa kwa sababu wanakuwa na tamaaWengi wanafaa kwa matumizi ya mazoezi ya wawili na Sio kwa ajili ya ndoa
Anataka azeeke bila ndoa huyu, baadaye anasema amelogwa na kuanza kutafuta vitu vya upako πOn a serious note:msikilize Kaka yako equinox ana madini kuhusu masuala ya ndoa Mana ana uzoefu nayo.
Wewe sio mwanamke?Hadi kufunga kanga!
Wanawake mna kazi sana
Shindwa pepoπππAnataka azeeke bila ndoa huyu, baadaye anasema amelogwa na kuanza kutafuta vitu vya upako π
Kazi kwako, ukumbuke kutuletea kadi πKwakweli inabidi nichangamkie fursa ππππ€
Kanga ni vazi la kujistiri ata kama utakuwa umekaa vibayaNdiyo maana nikasema hapo juu kwamba wanawake wana kazi sana
Kwa hiyo akivaa gauni akiwa nyumbani tunamtoa kwenye umatirio?