Wadada wanaofaa kuolewa

Hao wapo, akija kukutembelea, anakwambia niagizie kiti moto na balimi πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ustimotivate bwanaaa
 
Inashashangaza sana mwanaume kujisifu kunyandua na kuzalisha hovyo! Kwamba wewe upo okay kuwa na watoto hovyo na kila mwanamke?
Watoto ni hazina, kwa sasa utaona hawana tija, ukiwa miaka ya 60+ huku nguvu za kiume hakuna, uzao wako utakuwa ndio faraja yako kama uliwapa msingi mzuri.
 
Ulishawahi kujiuliza, ukiwa umelazwa hospitali na ukawa unajisaidia haja kubwa pale, ni yupi atakayekuwa anakusafisha?
 
Haya mambo ya 50/50 ndiyo yanawapoteza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…