Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Kupata mdada wa kukufanyia hayo yote ni nadra sana, wadada wengi wa sahivi ukiwatongoza, Kichwani wanajiuliza watafaidika vipi kipesa wakiwa na wewe kwenye hayo mahusiano, baadala ya kuwaza future yenu mtaijenga vipi pamoja.

in fact kwa sasahivi, naturally wadada wengi hawapendi kujipikia chakula chao wenyewe, achilia mbali kumpikia mume/boyfriend, sasa mtu Yeye mwenyewe kujipikia hapendi, anaona uvivu, ndio atampikia mume??

Mtu anabwia Serengeti lite kumi na kuvuta shisha unategemea aje awe mke wa maana heheeeee Equation x Leejay49 Ms eyes
Hao wapo, akija kukutembelea, anakwambia niagizie kiti moto na balimi 😀 😀
 
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.

Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
  • Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima.​
  • Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k​
  • Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa​
  • Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi​
  • Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani​
  • Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika​
  • Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k​
  • Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi.​
  • Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela.​
  • Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana.​
  • Anapenda kushiriki ibada katika dini yake​
Kama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.​
Ustimotivate bwanaaa
 
Inashashangaza sana mwanaume kujisifu kunyandua na kuzalisha hovyo! Kwamba wewe upo okay kuwa na watoto hovyo na kila mwanamke?
Watoto ni hazina, kwa sasa utaona hawana tija, ukiwa miaka ya 60+ huku nguvu za kiume hakuna, uzao wako utakuwa ndio faraja yako kama uliwapa msingi mzuri.
 
Hizo sifa ni semi primary.. na ni very useful.

Bahati mbaya au nzuri sina huo mpango wa kuoa.. ingawa natamani nipate mahusiano strong na sio NDOA.

Ndoa ni utapeli na utumwa.

Nirudi ktk Mada.

Umezungumzia mengi ila jambo la KUJISTIRI hujaligusia sana.

Mwanamke anaejistiri naamini 50% ni wife material.. hizo 50% ndio za kijasusi zaidi kutaka kuzijua zinafix wapi.
Ulishawahi kujiuliza, ukiwa umelazwa hospitali na ukawa unajisaidia haja kubwa pale, ni yupi atakayekuwa anakusafisha?
 
Baadhi ya wanawake WAKIZAZI hiki waliowengi wanakosea ....
Utaona wanawake wanafanya bidii na kuhamasishana kuwa na Tabia za kiume....
Inamaana tunaenda kuwa na wanawake wenye tabia za kiume na hivyo kukosa wanawake wenye tabia za kiuwanawake, hivyo hawawezi kuishi kwenye Ndoa. (mafahali wawili hawakai zizi moja)
Wanawake wanatakiwa wajitambue kuwa, mwanamke mwenye tabia za mwanamke ni sifa nzuri sana iliyo himizwa kwenye vitabu vyote vya Dini ( Quran na Biblia)
Haya mambo ya 50/50 ndiyo yanawapoteza zaidi
 
Back
Top Bottom