Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Kupata mdada wa kukufanyia hayo yote ni nadra sana, wadada wengi wa sahivi ukiwatongoza, Kichwani wanajiuliza watafaidika vipi kipesa wakiwa na wewe kwenye hayo mahusiano, baadala ya kuwaza future yenu mtaijenga vipi pamoja.

in fact kwa sasahivi, naturally wadada wengi hawapendi kujipikia chakula chao wenyewe, achilia mbali kumpikia mume/boyfriend, sasa mtu Yeye mwenyewe kujipikia hapendi, anaona uvivu, ndio atampikia mume??

Mtu anabwia Serengeti lite kumi na kuvuta shisha unategemea aje awe mke wa maana heheeeee Equation x Leejay49 Ms eyes
Wapo sana, ila binafsi moyo wangu umeingia ganzi unaweza kumpikia na kumfulia boyfriend akakudharau vibaya mno na akakuacha bila huruma.
 
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.

Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
  • Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima.​
  • Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k​
  • Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa​
  • Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi​
  • Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani​
  • Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika​
  • Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k​
  • Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi.​
  • Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela.​
  • Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana.​
  • Anapenda kushiriki ibada katika dini yake​
Kama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.​
Hapo kwenye kubana matumizi ingependeza kama akiadapt kutokana na mazingira
 
wAke zangu wanasifa hzo zote karibia zote ila isipokuwa hyo ya kusali ndo wanasua sua ila wanajaribu

Na mmoja ana sifa ya kuongea maneno mengi mjuaji na ndo mke mkubwa
 
Back
Top Bottom