Wadada wanaofaa kuolewa

Wadada wanaofaa kuolewa

Situmii kilevi chochote
Kwann umeuliza😅
Nimeuliza kwa sababu, tunatakiwa tuonyeshe uzalendo wa kulinda ajira za ndugu zetu wanaofanya kazi katika viwanda vya vinywaji.
Kwa sababu hutumii, wewe sio mzalendo bali ni mbinafsi.
 
Hakuna shida afya yangu kwanza
Nimeuliza kwa sababu, tunatakiwa tuonyeshe uzalendo wa kulinda ajira za ndugu zetu wanaofanya kazi katika viwanda vya vinywaji.
Kwa sababu hutumii, wewe sio mzalendo bali ni mbinafsi.
 
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.

kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi kujifunza kabla jua halijazama.

Sifa zenyewe ni hizi hapa:-
  • Asiwe na marafiki wengi; marafiki wengi huwa ni vimeo, ukiwaomba ushauri watakupoteza kwa kufikiria ujana; wanaweza kukushauri uwe unamnyima mpenzi wako mtarajiwa tendo la ndoa na ukifuata ushauri wao, unapotea mazima.​
  • Awe anapenda kupika kuliko kununua nuna vyakula tayari ambavyo vimepikwa mfano chipsi, nyama choma n.k​
  • Awe na uwezo wa kutafsiri kesho kuliko sasa​
  • Awe anapenda kufanya shughuli za nyumbani, kama kupika pika, kufua, kufanya usafi n.k bila kutegemea kutumia kijana wa kazi​
  • Awe na sifa ya kupenda kufunga kanga akiwa nyumbani​
  • Akitembelewa haruhusu mgeni wake kuondoka bila kula chakula chake alichopika​
  • Akimtembelea mpenzi wake wa kiume anapoishi atajitahidi kumfanyia usafi wa nyumba, kufua, kukupikia n.k​
  • Akiwa na mpenzi wake muda wote wanakuwa na furaha, na anakuwa sio mjuaji wa maneno mengi.​
  • Aombi ombi hela hovyo, ukimuambia sina atakuvumilia, na wakati mwingine atakushauri tufanye hili au lile ili tupate hela.​
  • Anakuwa na mawazo ya kubana matumizi ili mfanye mambo ya maana.​
  • Anapenda kushiriki ibada katika dini yake​
Kama yupo humu mwenye hizo sifa na amefikisha miaka 40 hajaolewa, anyooshe mkono juu tumshauri cha kufanya.​
Umesahau kigezo kimoja hakikisha mchumba wako anamatako makubwa usijeanza kutamani wake zetu wenye matako manene
IMG_20230814_151508.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Popote pale ulipo [mention]Leejay49 [/mention] , nitafute Koridon , Nina ujumbe wako
 
Back
Top Bottom